Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba hali tete, yaambulia sare kwa Ihefu

Simba Hali Tete Simba hali tete, yaambulia sare kwa Ihefu

Sat, 13 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jinamizi la matokeo mabaya linaendelea kuwaandama Simba SC baada ya leo Aprili 13, 2024 kuambulia sare ya 1-1 dhidi ya Ihefu FC.

Mechi hiyo ya Ligi Kuu imepigwa katika uwanja wa Litti Singida. Singida ndio walikuwa wa kwanza kupata goli katika kipindi cha kwanza.

Goli la kusawazisha liliwekwa kimiani na Chama kwa mkwaju wa penalti kipindi cha pili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live