Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba, Yanga kupokelewa na Mabalozi

Simba Yanga WA0007 Simba, Yanga kupokelewa na Mabalozi

Tue, 2 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba amezitaka Balozi zake nchini Misri na Afrika Kusini kutoa msaada wote kwa Timu za Simba na Yanga zitakapokuwa zinacheza michezo yao ya Vilabu Afrika kwenye Nchi hizo wiki hii

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba amezitaka Balozi zake nchini Misri na Afrika Kusini kutoa msaada wote kwa Timu za Simba na Yanga zitakapokuwa zinacheza michezo yao ya Vilabu Afrika kwenye Nchi hizo wiki hii “Balozi zetu za Pretoria na Cairo zimeelekezwa kutoa msaada wote kwa timu zetu za Simba na Yanga zitakapocheza huko wiki hii, Maafisa wetu watakuwa na timu saa zote kuhakikisha mkono wa Serikali upo kwa msaada na kukabili changamoto, tunazitakia heri” ameandika Mhe. Makamba kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii

Chanzo: www.tanzaniaweb.live