Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba, Yanga Bilioni 1.8 na rekodi juu

Simba X Yanga 1 Simba, Yanga Bilioni 1.8 na rekodi juu

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuzu kwa Simba na Yanga kumeifanya Tanzania kuandika historia kwa mara ya kwanza kupenyeza timu mbili kwa mpigo kucheza hatua ya Makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kufuzu kwa Simba na Yanga kumeifanya Tanzania kuandika historia kwa mara ya kwanza kupenyeza timu mbili kwa mpigo kucheza hatua ya Makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mbali na rekodi Yanga na Simba wamejihakikishia Mkwanja wa Dola 700,000 (Sh 1.8 bilioni) baada ya kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: