Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba: Tunakarabati timu yetu

Inonga Mshz Simba: Tunakarabati timu yetu

Tue, 25 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Klabu ya Simba umesema kuwa kwa sasa usajili wanaoufanya ni kuboresha mapungufu ya kikosi chao yaliyojitokeza msimu uliopita na kuwafanya kukosa ubingwa wa Ligi kuu kwa msimu wa tatu sasa.

Hayo yamesemwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally wakati akizungumza na chombo kimoja cha habari kuhusu wachezaji wanaowaacha na watakaowasajili katika dirisha kubwa msimu huu.

“Mipnago ya kiuongozi bado inaeldelea, Simba tunafanya marekebisho ya kikosi chetu, tunaondoa wachezaji ambao tunaamini kwamba hawatatusaidia msimu ujao na kuacha ama kusajili ambao watairejesha Simba kwenye makali yake. Kwa hiyo tunaendelea na ukaratabi wa timu yetu,” amesema Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live