Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC yaitisha mkutano Mkuu wa mwaka

Simba Mkutano Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah

Tue, 19 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC, imeitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka utakaofanyika Novemba 21, mwaka huu ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mkutano huo unatizamiwa kujadili na kushughulikia masuala mbali mbali ya klabu ya Simba, hivyo umeonekana kuvuta hisia za Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Soka nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live