Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC yaichapa Ngome goli 6

Simba Players Chama Simba SC yaichapa Ngome goli 6

Sat, 9 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo asubuhi Kikosi cha Simba SC kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ngome FC na kuibuka na ushindi wa magoli 6-0.

Mabao ya Simba katika mchezo wa leo yamefungwa na Shomari Kapombe, Aubin Kramo, Willy Onana, Chilunda na Jean Baleke aliefunga mabao 2.

Simba ipo kwenye maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live