Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC yahama uwanja tena, sasa ni Arusha

Saido M Chasambi Simba SC yahama uwanja tena, sasa ni Arusha

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imeuhamisha Mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya klabu ya KMC kutoka uwanja wa Azam Complex hadi Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha Tanzania. Mchezo wa kwanza ambao KMC walikuwa nyumbani katika uwanja wa Azam Complex ulimalizika kwa sare (2-2) dhidi ya Simba SC.

Taarifa kutoka Simba App imesema;

"Arusha tunakuja Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya KMC utapigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha siku ya Jumamosi Mei 25, 2024 saa 10:00 jioni. Taarifa zaidi kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live