Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC wakwea pipa kuifuata FC Platnum

880FF9AB CA8F 465D BD9D B554703FAD74 660x400.jpeg Simba SC wakwea pipa kuifuata FC Platnum

Fri, 18 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Ijumaa ya leo December 18 2020 kikosi cha Simba SC chini ya kocha wake Sven Vanderbroeck kimesafiri kuelekea Harare Zimbabwe kucheza mchezo wake wa kwanza wa round ya kwanza dhidi ya FC Platnum.

Ijumaa ya leo December 18 2020 kikosi cha Simba SC chini ya kocha wake Sven Vanderbroeck kimesafiri kuelekea Harare Zimbabwe kucheza mchezo wake wa kwanza wa round ya kwanza dhidi ya FC Platnum. Mchezo huo wa kwanza wa michuano ya CAF Champions League utachezwa Jumatano ya wiki ijayo December 23 2020 na marudiano ni January 5-6 2021.

Chanzo: millardayo.com