Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC waanzie walipoishia

SAdio Kanoute Kinara Wa Mabao.jpeg Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la Sadio Kanoute

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hakuna cha ajabu kulingana na aliyepita (Al Ahly) lakini Simba wanaweza kujivunia kwa namna walivyokabiliana nao.

Mambo makubwa huwa yanafanyiwa uthubutu, na ndicho ambacho Simba wameonesha katika mchezo dhidi ya Ahly.

Simba waanzie hapa kwenda mbele sio kurudi nyuma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live