Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC imepangwa kucheza na Plateu FC Ligi ya Mabingwa Afrika

28440959 2D8C 4CC7 9109 0F13DAB1C8F7 660x400.jpeg Simba SC imepangwa kucheza na Plateu FC Ligi ya Mabingwa Afrika

Mon, 9 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Shirikisho la soka Afrika CAF leo limepanga ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Simba SC imepangwa kucheza dhidi ya Plateau United ya Nigeria.

Simba kama ataitoa Plateu atacheza na mshindi wa game ya Costa do sol ya Msumbiji vs Platnum ya Zimbabwe katika hatua inayofuatia.

Mechi nyingine ni hizi hapa

CS Sfaxien

Chanzo: millardayo.com