Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC Vs Dodoma Jiji yarudishwa saa Moja tena

FB IMG 1646630518989 Simba SC Vs Dodoma Jiji yarudishwa saa Moja tena

Mon, 7 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi Tanzania Bara ‘TPLB’ imetangaza kuwa Mchezo wa simba SC dhidi ya Dodoma Jiji FC utapigwa saa moja usiku na sio saa kumi tena kama ilivyotangazwa hapo Awali.

Taarifa ya ‘TPLB’ imeeleza kuwa tayari Matengenezo ya Jenereta la Uwanja wa Mkapa yamekamilika.

Tazama ha chini taarifa ya Bodi ya Ligi;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live