Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens yatupwa nje CECAFA

Simba Queens Mchezaji wa Vihiga Queens akijaribu kumtoka bila mafanikio Mlinzi wa Simba Queens

Mon, 6 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Wanawake ya Simba, Simba Queens safari yake imekwama hii leo baada ya kupokea kipigo cha 2-1 Vihiga Queens katika mchezo wa nusu fainali.

Kipigo hicho walichokipata Simba Queens kinahitimisha safari yao katika Mashindano ya CAF Women’s Champions League CECAFA Qualifiers kwa mwaka huu 2021.

Mchezo huo ulipigwa katika dimba la Nyayo stadium na kuwaacha Simba Queens wakishuhudia Vihiga Queens wakitinga hatua ya fainali ya michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live