Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens yatinga nusu fainali Mabingwa Afrika

Simba Queens Yatinga Nusu Fainali Simba Queens yatinga nusu fainali Mabingwa Afrika

Sun, 6 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya @simbaqueensctz imeandika historia kwenye soka la wanawake ngazi ya klabu nchini kwa kufanikiwa kuingia Nusu Faifali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya timu ya Green Buffaloes.

Magoli ya @simbaqueensctz yakifungwa na Asha Djafar dakika ya 64 na Opah Clement 78’

Mchezo wa Nusu Fainali @simbaqueensctz itacheza dhidi ya AS FAR Club kutoka kundi A.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live