Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens yafunga mwaka na ushindi wa bao 5-2

Simba Queens 5 2 Simba Queens yafunga mwaka na ushindi wa bao 5-2

Fri, 29 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba Queens imeshinda mechi ya pili Ligi Kuu Wanawake ikiichapa Baobab Queens mabao 5-2.

Klabu ya Simba Queens imeshinda mechi ya pili Ligi Kuu Wanawake ikiichapa Baobab Queens mabao 5-2. Mechi ya kwanza Simba Queens ilishinda dhidi ya Ceasiaa Queens mabao 5-0 hivyo kwa ushindi wa leo inamaliza ikiwa kileleni kwa pointi 6 ikitofautiana mabao na Yanga Princess na JKT Queens.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live