Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens yachezea kichapo Ethiopia, yaondolewa CECAFA Qualifiers

SIMBA POLICE KE Simba Queens yachezea kichapo Ethiopia, yaondolewa CECAFA Qualifiers

Mon, 26 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya soka ya wanawake ya Simba, Simba Queens imepoteza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Kenya Police Bullets kwenye Michuano ya CAF Women’s Champions League CECAFA Qualifiers, baada ya kukubali kichapo cha mabao mawili kwa matatu katika dimba la Abebe Bikila nchini Ethiopia.

Police Bullets sasa wamefuzu fainali baada ya kuwapa kichapo Simba Queens ambao wamekosa tiketi ya kushiriki WCCL kwa msimu huu licha ya kuanza mashindano kwa ushindi wa mabao 5-0.

FT: Kenya Police Bullets 3-2 Simba Queens

⚽ Kwekwe ⚽⚽ Corazone

⚽Wacera

⚽ Becky.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live