Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens watinga bungeni Dodoma

Simba Queens Watinga Bungeni Dodoma Simba Queens watinga bungeni Dodoma

Thu, 1 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya wanawake ya Simba Queens, inayocheza Ligi Kuu ya wanawake Tanzania Bara, pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo wamefika bungeni leo Alhamisi, Februari Mosi, 2024.

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya wanawake ya Simba Queens, inayocheza Ligi Kuu ya wanawake Tanzania Bara, pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo wamefika bungeni leo Alhamisi, Februari Mosi, 2024. Bunge la 12, Mkutano wa 14, kikao cha kumi na tatu linaendelea Bungeni jijini Dodoma kwa kujadilia maswala mbalimbali ikiwemo Maswali kwa Waziri Mkuu, Maswali ya Kawaida, Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023 na Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa Mwaka 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live