Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens wamtambulisha rasmi Mwanamisi Omary

Mwanamisi Simba Queens wamtambulisha rasmi Mwanamisi Omary

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabigwa watetezi wa Ligi ya Wanawake nchini, Simba Queens wamemtambulisha rasmi straika wao wa zamani Mwanamisi Omary 'Gaucho'.

Kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram, Simba Queens wameweka picha ya nahodha wao huyo wa zamani ambaye alitimkia nchini Moroco mwaka 2021.

"Welcome back Mwanamisi Omary 'Gaucho'," wameandika kwenye ukurasa huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live