Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens waanza na kichapo Ligi ya Mabingwa

Simba Queens Kichapo.jpeg Simba Queens imekubali kichapo mbele ya FAR Rabat

Mon, 31 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Simba Queens imeanza vibaya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji FAR Rabat katika mchezo wa Kundi A usiku wa jana Uwanja wa Prince Moulay Hassan Jijini Rabat nchini Morocco.

Timu ya Simba Queens imeanza vibaya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji FAR Rabat katika mchezo wa Kundi A usiku wa jana Uwanja wa Prince Moulay Hassan Jijini Rabat nchini Morocco. Simba Queens watateremka tena dimbani Novemba 2 kumenyana na Determine Girls ya Liberia kabla ya kukamilisha mechi zao za Kundi hilo kwa kumenyana na Green Buffaloes ya Zambia Novemba 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live