Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens kushuka dimbani tena leo CECAFA

Simba Queens Kushuka Dimbani Tena Leo CECAFA.png Simba Queens kushuka dimbani tena leo CECAFA

Wed, 21 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya wanawake kutoka Tanzania Simba Queens, inatarajiwa kushuka dimbani leo dhidi ya Kawempe Muslim FC kutoka nchini Uganda katika Uwanja wa Abebe Bekila, leo Agosti 21, 2024 majira ya saa 5:00 asubuhi, ikiwa ni mchezo wa mashindano ya CECAFA Zonal Qualifiers kwa ajili ya CAF Women’s Champions League.

Timu ya wanawake kutoka Tanzania Simba Queens, inatarajiwa kushuka dimbani leo dhidi ya Kawempe Muslim FC kutoka nchini Uganda katika Uwanja wa Abebe Bekila, leo Agosti 21, 2024 majira ya saa 5:00 asubuhi, ikiwa ni mchezo wa mashindano ya CECAFA Zonal Qualifiers kwa ajili ya CAF Women’s Champions League. Ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza wa klabu ya Simba Queens walipata ushindi wa goli 5-0 dhidi ya FAD Djibouti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live