Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens kukabidhiwa Kombe la Ubingwa Ligi ya Wanawake leo

Simba Queens Ubingwa Simba Queens kukabidhiwa Kombe la Ubingwa Ligi ya Wanawake leo

Fri, 14 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake, Simba Queens leo Juni 14, 2024 wanatarajiwa kukabidhiwa Kombe lao la ubingwa.

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake, Simba Queens leo Juni 14, 2024 wanatarajiwa kukabidhiwa Kombe lao la ubingwa. Simba Queens watakabidhiwa katika mechi watakayocheza dhidi ya Geita Gold katika dimba la Azam Complex.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live