Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Kutua Zanzibar Januari 4

SIMBA22 Simba Kutua Zanzibar Januari 4

Tue, 28 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wanatarajia kushuka visiwani hapa Januari 4 kwa ajili ya kuanza kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi ambalo litaanza kurindima Januari 2 mwakani.

Timu hiyo iliyopangwa kundi C la kombe hilo itafika siku hiyo huku Januari 5 watashuka uwanjani kuvaana na Selem View mechi itakayopigwa saa 10:15 jioni.

Nusu fainali ya mashindano hayo makongwe visiwani hapa itapigwa Januari 10 huku fainali yake ikita­rajiwa kupigwa Januari 13.

MAKUNDI MAPINDUZI CUP

KUNDI A

Azam

Namungo

Yosso Boys

Meli 4 City

KUNDI B

Yanga

Taifa Jang’ombe

KMKM

KUNDI C

Selem View

Simba

Mlandege

Chanzo: www.tanzaniaweb.live