Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Silva aongeza Mkataba Chelsea

T SILVA 2024 Mlinzi wa kati wa Chelsea, Thiago Silva

Sat, 11 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Chelsea, Mbrazil Thiago Silva mwenye umri wa miaka 38 amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka Juni, 2024.

Mlinzi wa Chelsea, Mbrazil Thiago Silva mwenye umri wa miaka 38 amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka Juni, 2024. Silva alijiunga na Chelsea mwaka 2020 akitokea kwa matajiri wa Ufaransa PSG alikocheza kwa mafanikio makubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live