Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Silva, Mount nje dhidi ya Leeds, kocha akuna kichwa

Gp.jpeg Kocha wa Chelsea, Graham Potter

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Chelsea, Graham Potter amethibitisha Thiago Silva na Mason Mount wataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Leeds kutokana na majeraha lakini pia Reece James anaweza kuukosa mchezo huo kutokana na maumivu.

Chelsea inapitia kipindi kigumu kwa sasa na huenda mwalimu wa kikosi hicho Graham Potter akaoneshwa mlango wa kutokea.

Beki Thiago taarifa zinaeleza kuwa majeraha aliyoyapata yatamweka nje ya Uwanja kwa takriban wiki sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live