Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sikia hii! Kumbe Mgunda aliondoka na majina matatu Angola

Mgunda Majina Kocha Juma Mgunda

Fri, 14 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba ilipata ushindi wa mabao 3-1 ugenini mjini Luanda, Angola lakini kabla ya kurejea nyumbani benchi la ufundi chini ya Mgunda, liliondoka na majina matatu ya nyota wa Agosto, ili kuyafanyia kazi kabla ya kurudiana nao wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Simba ilipata ushindi wa mabao 3-1 ugenini mjini Luanda, Angola lakini kabla ya kurejea nyumbani benchi la ufundi chini ya Mgunda, liliondoka na majina matatu ya nyota wa Agosto, ili kuyafanyia kazi kabla ya kurudiana nao wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mgunda aliondoka na majina ya John Mano, Dago Tshibamba kiungo mshambuliaji aliyefunga bao la kufutia machozi kwa penalti na Vidinho ambao walikuwa mwiba kwenye mchezo huo wa ugenini huku akipania kishindo cha aina yake kuipeleka Simba hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live