Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Si Mbeya City wala Dodoma Mji iliyopiga hatua

Dodoma Pic Data Si Mbeya City wala Dodoma Mji iliyopiga hatua

Thu, 11 Mar 2021 Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

By Olipa AssaMore by this Author DAKIKA ya 22 straika wa Dodoma Mji, Seif Karihe alizima shangwe za nyomi za  mashabiki wa Mbeya City, waliokuwa Uwanja wa Sokoine, kutazama mechi hiyo, iliyoisha kwa sare ya bao 1-1. Karihe alifunga bao hilo, baada ya kuitendea haki pasi Dikson Ambundo ambaye aliwachenga mabeki wa City, kisha akapiga mtindo wa vii.

By Olipa AssaMore by this Author DAKIKA ya 22 straika wa Dodoma Mji, Seif Karihe alizima shangwe za nyomi za  mashabiki wa Mbeya City, waliokuwa Uwanja wa Sokoine, kutazama mechi hiyo, iliyoisha kwa sare ya bao 1-1. Karihe alifunga bao hilo, baada ya kuitendea haki pasi Dikson Ambundo ambaye aliwachenga mabeki wa City, kisha akapiga mtindo wa vii. Zilipita dakika 37 furaha ya mashabiki wa Mbeya City kurejea, kutokana na straika wao  Juma Ally Luizio kufunga bao la kusawazisha kwa kichwa dakika ya 59, baada ya kuunga mpira uliopigwa wa juu ukitokea  katikati ya uwanja.

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz