Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shoo ya Simba mwezi Machi itapigwa hivi

Robertinho Vipers Simba Shoo ya Simba mwezi Machi itapigwa hivi

Wed, 1 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika Simba wakiwa hatua ya makundi wana kazi kubwamwezi huu mpya.

Hivi hapa vigongo vya Simba ndani ya Machi kwenye mechi za mashindano kitaifa na kimataifa namna hii:-

Machi 2, Uwanja wa Uhuru ni Simba v African Sports mchezo wa hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho.

Machi 7 ni Simba v Vipers mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

Mtibwa Sugar v Simba itakuwa Machi 11 ngoma itapigwa Manungu palepale ambapo Simba huwa inapata tabu kusepa na pointi tatu.

Simba v Horoya ngoma inapigwa Machi 18 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live