Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shirika la Bima NIC kutoa Tuzo ya Mchezaji Bora Yanga

Yanga Gd (17).jpeg Shirika la Bima NIC kutoa Tuzo ya Mchezaji Bora Yanga

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Kandanda Tanzania Bara klabu ya Yanga imeingia mkataba na shirikia la bima la NIC na sehemu ya makubaliano ya mkataba huo NIC itaanza kutoa zawadi kwa mchezaji wa Yanga ambaye amefanya vizuri kila mwezi.(POTM)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: