Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sheria mpya FIFA; Ukipinga maamuzi ya refa utatolewa nje dakika 10

Referee Portugal Sheria mpya ya FIFA; Ukipinga maamuzi ya refa utatolewa nje dakika 10

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: BR Football

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limepanga kutangaza sheria mpya mchezaji atakayeadhibiwa kwa kosa la Kupinga Uamuzi wa Refalii atatolewa njee ya Uwanja kwa dakika 10 kisha atarudi baadaye.

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limepanga kutangaza sheria mpya mchezaji atakayeadhibiwa kwa kosa la Kupinga Uamuzi wa Refalii atatolewa njee ya Uwanja kwa dakika 10 kisha atarudi baadaye. FIFA imesema Sheria itaanza kufanyiwa majaribio muda wowote na endapo itaonekana ina manufaa basi itaanza kutekelezwa rasmi.

Chanzo: BR Football