Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shaffih Dauda agonga ukuta kamati ya Maadili TFF

Dauda Rufaaa Shaffih Dauda ataendelea kutumikia adhabu

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati ya maadili ya TFF imeamua kutupilia mbali maombi ya mjumbe wa DRFA aliyefungiwa na TFF, Bw Shafii Dauda hivyo ataendelea kutumikia adhabu hiyo.

Shafii aliomba shauri lake kusikilizwa tena ili haki itendeke pamoja na kuomba kamati imuondolee adhabu ya kufungiwa na faini lakini amegonga mwamba.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maadili Mwita Waisaka, Shafii Dauda alishindwa kuhudhuria kikao cha kamati hiyo na pia ameshindwa kutekeleza maamuzi ya kufungiwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live