Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shaffih Dauda: Viongozi wamemfukuza Robertinho kulinda maslahi yao (+Video)

Shaffih X Robertinho Wamemfukuza Robertinho kulinda viongozi

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Haya ni maelezo yangu nikifafanua ninachokiamini kwa haya maamuzi yaliyofanywa na Simba siku ya jana,masaa chini ya 48 tangu Simba waliposhushiwa kichapo cha mabao 5-1 kutoka kwa mtani wao Yanga SC .

Ukweli ni kwamba kipigo hiki kimeeavuruga viongozi kwa sehemu kubwa , presha ya mashabiki kwenda kwa viongozi pia ni kubwa hivyo viongozi wametafuta wakumpa hili zigo ili kuhamisha focus .

Robertinho aliiongoza Simba kwenye mechi za mashindano mengine [Azam Sports Federation Cup na Ngao ya Jamii]. Na hizi ni namba zake

AZAM SPORTS FEDERATION CUP

Mei 6, 2023 Azam FC 2-1 Simba

NGAO YA JAMII

Agosti 10, 2023 Simba 0-0 Singida Fountain Gate [P 4-2]

Agosti 13, 2023 Yanga 0-0 Simba [P 1-3]

Alipoteza mechi moja ya ASFC, akashinda kwa mechi mbili za Ngao ya Jamii kwa changamoto ya mikwaju ya penati na kufanikiwa kuchukua Ngao ya Jamii.

View this post on Instagram

A post shared by Shaffih Dauda (@shaffihdauda_)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live