Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shaffih Dauda: Simba wasiumie, wao sio wa kwanza kufungwa 5

Shaffih X Simba 5 Shaffih Dauda: Simba wasiumie, wao sio wa kwanza kufungwa 5

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba wakiombloza kipigo cha mabao 5 kutoka kwa watani zao Yanga Jana Jumapili mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Tayari watu wameanza kuonesheana vidole kupeana lawama sasa mchambuzi wa michezo kutoka Clouds FM, Shaffih Dauda anasema;

"Kuna muda inafika mwili unakuwa hautaki lakini akili inataka ,ukiangalia Simba wamepigiwa sana mpira na walikuwa wanaonekana kabisa wamechoka “

“Leo wanazungumzia 5G lakini hii 5G ni ya nne ,ila inazungumzwa sana kwa sababu imemuangukia Simba , Simba hawatakiwi kuumia sana kwa sababu wao sio wa kwanza hasa msimu huu “

Chanzo: www.tanzaniaweb.live