Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shaffih Dauda: Simba acheni kuandamana, ipeni Timu sapoti

Shaffih X Simba 5 Shaffih Dauda: Simba acheni kuandamana, ipeni Timu sapoti

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Mashabiki wa Simba wakitishia kuanza maandamano ili kushinikiza uongozi kujiuzulu baada ya Simba kupokea kichapo cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga.

Mchambuzi wa Michezo kutoka Clouds FM Shaffih Dauda amesema huu sio wakati wa Simba kufanya vurugu na badala yake waungane na kuisapoti Tmu katika kipindi hiki.

Akizungumza Shaffih anasema;

“Mambo ya kuandamana hayana mpango wowote , kama kuandamana wangeandamana Manchester United huko kwa hiki wanachopitia ,kazi ya shabiki ni kuisapoti timu yake , Manchester United wanafungwa na mechi ijayo wanaenda uwanjani kwa wingi ule ule “

Chanzo: www.tanzaniaweb.live