Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki kindakindaki wa Simba akamatwa

Rsssesxfd Shabiki wa Simba SC, anayetambulika kwa jina la GB 64 ameitwa Kituo cha Kati

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shabiki wa Simba SC, anayetambulika kwa jina la GB 64 ameitwa Kituo cha Kati (Central) kutoa Maelezo, huku akisema ana wasiwasi huenda akawekwa ndani ya kukosa kuitazama mechi ya kesho dhidi ya Yanga SC.

Shabiki wa Simba SC, anayetambulika kwa jina la GB 64 ameitwa Kituo cha Kati (Central) kutoa Maelezo, huku akisema ana wasiwasi huenda akawekwa ndani ya kukosa kuitazama mechi ya kesho dhidi ya Yanga SC. Katika video inayotembea mitandaoni inaonesha shabiki huyo aliyejizolea umaarufu akilalamika kuitwa kituoni hapo na huenda akakosa kulitazama pambano hilo litakalochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live