Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki amvaa Chama bao 5 za Yanga; "Bora uondoke tu"

Simba Vs Yanga Chama Yulee.jpeg Shabiki amvaa Chama bao 5 za Yanga; "Bora uondoke tu"

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipigo cha mabao 5-1 ilichokipata Simba SC katika mchezo wake dhidi ya Yanga SC kimeendelea kuwavuruga mashabiki wa Simba baada ya shabiki (Mo Latino90) kumvaa kiungo wao mshambuliaji raia wa Zambia, Clatous Chama kwenye mitandao ya kijamii.

Shabiki yule amemtupia lawama kiungo huyo kuwa amekuwa akiwahujumu hivyo hawamtaki na ikibidi aondoke katika dirisha dogo la usajili.

Shabiki huyo amemvaa Chama kwa kuandika maneno ambayo Chama alienda katika kurasa ya shabiki yule na kuandika; "sawa".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live