Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki ampiga refa, Timu yapokwa pointi na kupigwa faini

Kundemba FC.jpeg Kundemba FC yapigwa Faini ya Milioni 7

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi ya Bodi ya Ligi Zanzibar, imetoa alama tatu na mabao mawili kwa Zimamoto SC baada ya shabiki wa timu ya Kundemba FC kumpiga mwamuzi pembeni (mshika kibendera namba mbili) na kusababisha mchezo huo kuvunjika ndani ya dakika za nyongeza.

Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi ya Bodi ya Ligi Zanzibar, imetoa alama tatu na mabao mawili kwa Zimamoto SC baada ya shabiki wa timu ya Kundemba FC kumpiga mwamuzi pembeni (mshika kibendera namba mbili) na kusababisha mchezo huo kuvunjika ndani ya dakika za nyongeza. Katika mchezo huo ulichezwa Novemba 22, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mau hadi unavunjika timu hizo zilikuwa zimetoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live