Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki akerwa Singida FG kuondoka bila kuaga (+Video)

Singida Waondoka Shabiki akerwa Singida FG kuondoka bila kuaga

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Singida FG wamesema hawajapendezwa na kitendo cha timu yao kuondoka bila kuwaga licha ya wao kuwaunga mkono mahala popote walipokwenda.

Ihefu imehamishia makazi yake leo mkoani Singida leo jioni Februari 26, 2024 baada ya kutangaza kuanza kuutumia uwanja wa CCM Liti na wemyeji wamehamia Mwanza.

Mashabiki wa soka mkoani Singida wamejitokeza barabarani kuipokea timu hio wakisema wao kama wapenzi wa mpira wanaiunga mkono timu yoyote itakayoamua kuutumia uwanja wa Liti kama uwanja wa nyumbani hivyo jina la Ihefu haliwapi shida sababu wao wanapenda mpira.

Tizama Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live