Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki aangua kilio Guede kunyimwa bao Chamazi (+Video)

Mudathir Guede Aziz Ki A0008 Shabiki aangua kilio Guede kunyimwa bao Chamazi

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza Uwanja wa Azam Complex Chamazi kushuhudia mchezo kati ya Yanga na Kagera Sugar ameangua kilio huku akidai kuwa makosa yamefanyika na mchezaji wao Joseph Guede kunyimwa bao halali alilofunga.

Mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0, lililofungwa na Mudathir Yahaya.

Tazama Video nzima hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: