Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki Arsenal ajiua kisa Man City kubeba Ubingwa

Shabiki Ajiua Shabiki Arsenal ajiua kisa Man City kubeba Ubingwa

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shabiki wa Arsenal nchini Kenya amedaiwa kujiua, baada ya Manchester City kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England 2023-2024 huku Arsenal wakiukosa siku ya mwisho ya kufunga Pazia la Ligi.

Hii si mara ya kwanza kwa visa vya mauaji kwa Mashabiki wa Arsenal kuripotiwa kwani;

Mnamo mwaka 2015, shabiki wa Arsenal nchini Kenya alijiua baada ya kutolewa nje ya mashindano ya UEFA na Klabu ya soka ya Monaco.

Mnamo mwaka 2009, shabiki wa Arsenal nchini Kenya alijiua, baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live