Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sevilla yamtimua Kocha Mendilibar

Jose Luis Mendilibar E1696798426581.jpeg Sevilla yamtimua Kocha Mendilibar

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Sevilla inayoshiriki ligi kuu ya Hispania (La liga) imemfukuza aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo José Luis Mendilibar baada ya muenendo mbaya wa timu tangu msimu huu uanze,

Sevilla wapo kwenye nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi kuu Hispania huku kwenye michuano ya UEFA champions league wakiwa katika nafasi ya 3 kwenye kundi lao,

Tayari klabu ipo kwenye mbio za kutafuta kocha mpya haraka iwezekanavyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live