Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sevilla wamtimua Kocha baada ya kipigo cha bao 3

Diego Alonso.jpeg Kocha Diego Alonso

Sun, 17 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Klabu’ ya Sevilla imemfuta kazi ‘kocha Diego Alonso ‘klabuni’ hapo kufuatia kipigo cha 3-0 dhidi ya ‘klabu’ ya Getafe kwenye ‘Ligi’ kuu Uhispania.

‘Klabu’ ya Sevilla imemfuta kazi ‘kocha Diego Alonso ‘klabuni’ hapo kufuatia kipigo cha 3-0 dhidi ya ‘klabu’ ya Getafe kwenye ‘Ligi’ kuu Uhispania. Alonso mwenye umri wa miaka 48 raia wa Marekani ametupiwa virago baada ya kudumu katika ‘klabu’ hiyo kwa miezi miwili tu tangu alipochukua mikoba ya ‘kocha’ José Luis Mendilibar Oktoba 10, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live