Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Setien atimuliwa Villarreal

Setien Quique Setien

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Quique Setien amekuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi msimu huu ndani ya ligi kuu ya Hispania (Laliga),

Quique Setien amekuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi msimu huu ndani ya ligi kuu ya Hispania (Laliga), Villarreal wametanganza kumfuta kazi baada ya kupoteza michezo 3 na kushinda mchezo 1 katika minne ya ligi ya mwanzo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live