Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali Hong Kong yaomba radhi Messi kutocheza mechi ya kirafiki

Messi Hong Kong.jpeg Serikali Hong Kong yaomba radhi Messi kutocheza mechi ya kirafiki

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali ya Hong Kong imeomba radhi kwa mashabiki baada yaLionel Messi kutocheza pambano la kirafiki kati ya Inter Miami dhidi ya Hong Kong All Stars.

Aidha, Serikali ya Hong Kong imemtaka mratibu wa mechi hiyo ya kirafiki kuelezea kwa nini Messi hakucheza ilhali maelfu ya mashabiki wa soka walilipa ili kuona akicheza.

Inter Miami ilishinda mechi hiyo 4-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live