Mon, 16 Oct 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Beki wa klabu ya Barcelona Sergio Roberto anatarajiwa kuondoka klabuni hapo mnamo Juni 2024 kama mchezaji huru,
Beki wa klabu ya Barcelona Sergio Roberto anatarajiwa kuondoka klabuni hapo mnamo Juni 2024 kama mchezaji huru, Kwa mjibu wa Diario Sport limeripoti kuwa watu wa ndani ya klabu hiyo wanahisi kuwa Sergio ataondoka kama free agent.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live