Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serengeti Girls yatupwa nje Kombe la Dunia

F40C61D0 012E 4C46 A1BB 95CC93486DCF.jpeg Serwngeti Girls imekubali kichapo cha magoli 3-0

Sun, 23 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka wa 17, Serengeti Girls imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Dunia U17 baada ya kuchapwa 3-0 na Colombia katika mchezo wa Robo Fainali jana Uwanja wa Pandit Jawaharlal Nehru huko Goa, India.

Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka wa 17, Serengeti Girls imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Dunia U17 baada ya kuchapwa 3-0 na Colombia katika mchezo wa Robo Fainali jana Uwanja wa Pandit Jawaharlal Nehru huko Goa, India. Serengeti Girls imeshiriki kwa mara ya kwanza michuano ya Kombe la Dunia na wamefanikiwa kuishia hatua ya robo Fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live