Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serengeti Girls yanfanya kweli India

Serengeti Girls U17 Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls

Tue, 18 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls imefuzu hatua ya robo fainali kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2022, India.

Serengeti Girls imefikia hatua hiyo baada ya kupata sare na Canada mchezo uliopigwa leo na kuwafanya kufikisha alama 4 katika kundi D.

Mchezo wa Robo Fainali, Timu ya Serengeti Girls watakipiga na timu ya Taifa ya Colombia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live