Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Senzo amaliza Mkataba na Ligi ya Botswana, anarudi Bongo?

Senzo Mbatha Botswana Senzo amaliza Mkataba na Ligi ya Botswana, anarudi Bongo?

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji mkuu wa Ligi kuu ya Botswana Senzo Mbatha amemaliza mkataba wake na Shirikisho la Soka nchini humo.

Senzo aliwahi kuzitumikia klabu za Simba na Yanga za Tanzania kama mtendaji mkuu.

Senzo amesema kuwa hataongeza mkataba mpya nchini Botswana, Je unadhani Senzo anahitajika katika Ligi yetu?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live