Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga SC Senzo Mbatha, amesema kwa sasa hana mpango wa kufanya kazi nchini baada ya miaka mitatu ya utumishi wake kwenye vilabu vya Simba na Yanga kwa nyakati tofauti.
Senzo alimaliza mkataba wake na Yanga Julai 31 mwaka huu na hakutaka kuongeza Mkataba na klabu hiyo.
Senzo alikuepo Jijini Arusha alipokuja kuhudhuria Mkutano wa Shirikisho la Soka Afrika CAF.
Tazama mahojiano ya Senzo hapa;
Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa #YangaSC Senzo Mbatha amesema kwa sasa hana mpango wa kufanya kazi nchini baada ya miaka mitatu ya utumishi wake kwenye vilabu vya Simba na Yana kwa nyakati tofauti.#AzamSports #CAFGeneralAssembely2022 pic.twitter.com/vs4VQvBfbr
— Azam TV (@azamtvtz) August 11, 2022