Wed, 12 Jul 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Kwa Mujibu wa Ibara ya 6.5.4 ya Sheria mpya ya hadhi za wachezaji nchini Botswana iliyopitishwa 10 July 2023 imeleeza kuwa;
Mchezaji wa kigeni ambaye hajacheza michezo 3 au zaidi ya Timu zozote za Taifa haruhusiwi kucheza kwenye Ligi Kuu yao (Botswana),
Hii ni Kwa Mujibu wa Senzo Mazingisa ambaye ndiye CEO (mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu Botswana).
Senzo aliwahi kufanya kazi kama Mtendaji Mkuu wa Vilabu vya Simba na Yanga kwa nyakati tofauti.
Vipi sheria hii iletwe Bongo? unadhani wachezaji wa Kigeni watatoboa? tupe maoni yako
Chanzo: www.tanzaniaweb.live