Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Senegal yaikanda Cameroon 3 - 1

Mane 3 1.jpeg Senegal yaikanda Cameroon 3 - 1

Sat, 20 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Senegal imeifunga Cameroon mabao 3-1, katika mchezo wa Kundi C Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon), uliomalizika muda mfupi uliopita nchini Ivory Coast.

Timu ya Taifa ya Senegal imeifunga Cameroon mabao 3-1, katika mchezo wa Kundi C Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon), uliomalizika muda mfupi uliopita nchini Ivory Coast. Mchezo huo ulikuwa na upinzani mkali lakini hata hivyo Sadio Mane na vijana wake walionesha kwamba wao ni bora zaidi na kufanikiwa kuibuka na ushindi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live