Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Senegal yafanya kweli Qatar

Senegal 3 1 Senegal imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji Timu ya Qatar

Fri, 25 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ushindi wa mabao 3-1 walioupata Simba wa Teranga, Timu ya Senagal dhidi ya wenyeji Qatar umeibua matumaini kwa Kikosi hicho kufuzu kwa hatua ya 16 bora Michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Qatar.

Kichapo hiko kinatoa picha mbaya kwa wenyeji wa mashindano hayo Timu ya Qatar kuondolewa hatua ya makundi baada ya kupoteza mchezo wa pili kati ya mitatu hatua ya makundi.

Magoli ya Senegal yamefungwa na B. Dia 41', F. Diedhiou 48 ' na B. Dieng dakika ya 84 ya mchezo wakati bao pekee la Qatar katika michuano hii likifungwa na Muntari dakika ya 78.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live